MIRADI INAYOENDELEA

linia

 

KUONGEZEKA UBORA WA HUDUMA ZA TIBA ZINAZOTOLEWA WILAYA YA LINDI VIJIJINI (TANZANIA).

PROGRAMME: POLISH AID VOLUNTEERING PROGRAMME 2016
KIONGOZI: Foundation Science for Development
PARTNER: District Hospital in Nyangao (Tanzania)
MRATIBU WA MRADI: Wiesław Ptach
CONTACT: Wieslaw_Ptach@f-ndr.org
MAELEZO YA MRADI: Project Webpage
KUMBUKUMBU ZA PICHA: Kumbukumbu za picha.
Mradi unafadhiliwa chini ya mpango wa ushirikiano wa maendeleo wa ki-poland kupitia Wizara ya Mambo ya nje Jamuhuri ya Poland.

linia