TUZO YA “AMICUS OECONOMIE” KWA BWANA KRZYSZTOF BUZALSKI – BALOZI WA JAMHURI YA POLAND NCHINI TANZANIA. Tulifurahi, kuhudhuria mkutano wa mwaka uliofanyika kabla ya Krismasi ambao ulihusisha muhtasari wa jumla wa masuala ya diplomasia ya uchumi...
Ukarabati wa Maabara ya Vidusia/Parasitolojia katika LITA-Kampasi ya Tengeru(Arusha). Kulingana na mradi wa “Uboreshaji wa ubora mafunzo ya afya ya Mifugo kwa vijana nchini Tanzania kwa kuboresha Mazingira na...
Wakala wa Mafunzo ya Mifugo Tengeru – Mshiriki wetu katika Mradi wa Misaada ya Kipolishi 2019/2020. LITA, Kampasi ya Tengeru iko kwenye uwanda wa chini wa Mlima Meru, kilomita 14 kutoka jiji la Arusha. Kwa ujumla,...
Uboreshaji wa ubora mafunzo ya afya/tiba ya Mifugo kwa vijana nchini Tanzania kwa kuboresha mbinu na Mazingira ya Kufundishia. Mradi na. 137/2019/M “Uboreshaji wa ubora mafunzo ya afya/tiba ya Mifugo kwa vijana nchini Tanzania kwa kuboresha mbinu na Mazingira...